Recent Post

Harusi ya James Mbwaike & Yosephina Vayaula

HARUSI ILIYO VUNJA REKODI

Ni Harusi iliyo fanyika 26/3/2022 kanisa la EAGT MIGOLI mkoa wa Iringa
Shangazi wa Bwana Harusi hapa chini...
Shangazi wa Bibi Harusi na mdogoake hapa chini
Wasimamizi wa Harusi hawa hapa chini...
Mchungaji aliye fungisha ndoa ni Askofu Madelemo kutoka Dodoma huyu hapa chini...
Mchungaji wangu kipenzi aliye nilea kiroho nikiwa Iringa ni Mch. Francis Kikughe huyu hapa chini...
Mungu awabariki ñyote mliyo shiriki kufanikisha harusi hii!.. 


Share on Google Plus

About JAMPHINA BLOG

0 $type={blogger}:

Post a Comment